Watu wengi hupenda kujenga nyumba za ghorofa, ila kutokana na sababu mbali mbali huenda ndoto hizi huishia njiani sababu kubwa huwa ni pesa. Tumeona pia wapo ambao hununua au hujenga nyumba ya chini na kutamani baadae wangejenaga ghorofa. Sisi kama […]

