
Recent Posts
- JInsi ya kugeuza nyumba ya chini kuwa ya ghorofaJanuary 22, 2022
- How to build a house on a slopeJanuary 14, 2022
- Kujenga nyumba kwenye maeneo yenye mteremkoJanuary 13, 2022
- JInsi ya kugeuza nyumba ya chini kuwa ya ghorofa
Categories
Igeuze changamoto ya mteremko kuwa fursa ya nyumba au ramani nzuri na ya kipekee.
Mteja alikuja akiwa anahitaji ramani ya nyumba kwa ajili ya kiwanja chake ambacho kipo kwenye mteremko. Na upande wa nyuma wa kiwanja kulikua na bonde kubwa.
Tulichofanya ni ku-design nyumba nzuri iliyoendana na mteremko lilikuwepo kwenye kiwanja
Upande wa bonde tuliweka mahitaji ya mteja ambayo ni supportive kama chumba cha mazoezi (gym), chumba cha kujisomea (study room), parking na bwana la kuogelea (swimming pool)
Kujenga nyumba kwenye maeneo yenye mteremko, au bonde kunawezekana na kunaweza kukufanya upate nyumba yenye muonekano wa kipekee zaidi kuliko kujenga kwenye eneo tambarare.
Unapokuwa na changamoto yoyote ya eneo lako la ujenzi (site) wasiliana nasi ili tuweze kukusaidia.
Piga simu 0754 542 940 au fika ofisini kwetu ghorofa ya pili, New Shamo Towers Mbezi Beach, Dar es salaam.