
Recent Posts
- JInsi ya kugeuza nyumba ya chini kuwa ya ghorofaJanuary 22, 2022
- How to build a house on a slopeJanuary 14, 2022
- Kujenga nyumba kwenye maeneo yenye mteremkoJanuary 13, 2022
- JInsi ya kugeuza nyumba ya chini kuwa ya ghorofa
Categories
Watu wengi hupenda kujenga nyumba za ghorofa, ila kutokana na sababu mbali mbali huenda ndoto hizi huishia njiani sababu kubwa huwa ni pesa.
Tumeona pia wapo ambao hununua au hujenga nyumba ya chini na kutamani baadae wangejenaga ghorofa.
Sisi kama washauri, wabunifu na wajenzi tumeona kushare nanyi kile ambacho tunaweza kufanya. Tunaweza kuibadili nyumba yako kuwa vile unataka bila kuibomoa nyumba yote.
Hii ni project tunayoifanya kwa mmoja wa wateja wetu ambaye yeye alinunua nyumba ya chini ila alitamani apate ghorofa.
1. Tulichukua vipimo site na ramani ya zamani ya nyumba yake ya chini
2. Ujenzi wa ghorofa ukaanza kwa kubomoa sehemuya kuta
3. Uchimbaji wa msingi kwa ajili ya ghorofa
4. Kazi ya ujenzi wa ghorofa
Faida za kutokubomoa nyumba ya chini na kujenga upya ghorofa.